Home LOCAL RAIS DKT. SAMIA ASHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA JESHI LA POLISI

RAIS DKT. SAMIA ASHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA JESHI LA POLISI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki kwenye kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Moshi Mkoani Kilimanjaro, leo tarehe 17 Septemba 2024.
  

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Shule ya Polisi Tanzania (TPS) kwa ajili ya kufunga Mkutano Mkuu wa Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi pamoja na maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi hilo Moshi Mkoani Kilimanjaro tarehe 17 Septemba, 2024.
       Gwaride la heshima lililoandaliwa na Jeshi la Polisi Tanzania likipita mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi hilo yaliyofanyika katika Shule ya Polisi Tanzania (TPS), Moshi Mkoani Kilimanjaro tarehe 17 Septemba, 2024.

         Matukio mbalimbali kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi hilo yaliyofanyika katika Shule ya Polisi Tanzania (TPS), Moshi Mkoani Kilimanjaro tarehe 17 Septemba, 2024.
   Gwaride la Watoto likipita mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi hilo yaliyofanyika katika Shule ya Polisi Tanzania (TPS), Moshi Mkoani Kilimanjaro tarehe 17 Septemba, 2024.

Previous articleBEKI YA NMB YAPIGA JEKI ZAHANATI YA KIJIJI CHA IVILIKINGE WILAYA YA MAKETE
Next articleDKT. BITEKO: RAIS SAMIA ANAAMINI KATIKA USHIRIKIANO NA VIONGOZI WA DINI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here