Home LOCAL MWENYEKITI WA CCM RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU

MWENYEKITI WA CCM RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya CCM, inayokutana jijini Dar Es Salaam, Jumapili Septemba 01, 2024.