Home LOCAL MONGELLA ATETA NA VIONGOZI WA MASHINA/MATAWI KAHAMA

MONGELLA ATETA NA VIONGOZI WA MASHINA/MATAWI KAHAMA

Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara John Mongella, akizungumza na viongozi wa mashina na matawi ya CCM katika Halmashauri ya Msalala, mkoani Shinyanga. Mongella, ambaye pia ni mlezi wa chama kwa mkoa huo, yupo katika ziara ya siku saba inayolenga kukagua uhai wa chama na kuhakikisha utekelezaji wa Ilani ya CCM ya mwaka 2020-2024. Kesho, ataendelea na ziara yake katika Halmashauri ya Ushetu, ambako atafanya vikao vya ndani na vya hadhara kwa lengo la kuimarisha chama. 07/9/2024.








LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here