Home LOCAL MKUU WA WILAYA YA MKALAMA AMEWATAKA WATUMISHI WA AFYA NA WATENDAJI KUTOA...

MKUU WA WILAYA YA MKALAMA AMEWATAKA WATUMISHI WA AFYA NA WATENDAJI KUTOA ELIMU KUHUSU UGONJWA WA NYANI

Mkuu wa Wilaya ya Mkalama Mhe.Moses Machali amewataka Wakuu wa Idara, Watumishi wa Afya, Watendaji Kata na Vijiji pamoja na Maafisa Tarafa wilayani Mkalama kutoa elimu kwa wananchi namna ya kujilinda na ugonjwa wa homa ya Nyani maarufu kama Mpox

Wito huo ameutoa Septemba 5,2024 wakati wa kikao cha afya ya Msingi wilayani Mkalama kilichofanyika kwenye ukumbi ulipo ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Mkalama

Wakuu wa Idara, watumishi wa afya, Watendaji kata na Vijiji pamoja na Maafisa Tarafa kwa pamoja twendeni tukaelimishe jamii kuhusu homa ya nyani na namna ya kujilinda na ugonjwa huu” DC Machali

Aidha katika kuhakikisha wananchi wanajilinda na ugonjwa huo, Mhe. Moses Machali amepiga marufuku wananchi kusalimiana kwa kupeana mikono ili kujilinda na ugonjwa huo “Kuanzia leo tusisalimiane kwa kupeana mikono, tukifanya hivi tutajilinda na sisi na kuwalinda wengine” Mhe. Machali

Vile vile Mkuu wa wilaya ya Mkalama Mhe. Moses Machali ametoa agizo kuwekwa maji

Previous articleRAIS SAMIA AKIHUTUBIA MKUTANO WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI (FOCAC) JIJINI BEIJING CHINA
Next articleRAIS SAMIA AHUTUBIA MKUTANO WA TISA WA FOCAC JIJINI BEIJING, CHINA

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here