Home LOCAL MIAKA 60 JWTZ WAMEFANYA MAKUBWA KATIKA TAIFA LETU _RAIS SAMIA SULUHU

MIAKA 60 JWTZ WAMEFANYA MAKUBWA KATIKA TAIFA LETU _RAIS SAMIA SULUHU

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla ameshiriki katika Kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) yaliyoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan. Hafla iliyofanyika katika Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam .

Imetolewa na Kitengo cha Habari (OMPR)
Tarehe 01.09.2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here