Home LOCAL MHE.RAIS ATEMBELEA SHAMBA LA KAHAWA AVIV RUVUMA

MHE.RAIS ATEMBELEA SHAMBA LA KAHAWA AVIV RUVUMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akichambua Kahawa wakati alipotembelea Shamba la Kahawa la Aviv Tanzania Limited lililopo Mkoani Ruvuma tarehe 24 Septemba, 2024

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akinyweshea maji mti wa mkahawa wakati alipotembelea Shamba la Kahawa la Aviv Tanzania Limited lililopo Mkoani Ruvuma tarehe 24 Septemba, 2024.

Matukio mbalimbali kwenye wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipotembelea Shamba la Kahawa la Aviv Tanzania Limited lililopo Mkoani Ruvuma tarehe 24 Septemba, 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here