Home INTERNATIONAL MHE.HEMED SULEMAN AHUDHURIA KILELE CHA TAMASHA LA VITABU  NA SIKU YA KIMASOMO...

MHE.HEMED SULEMAN AHUDHURIA KILELE CHA TAMASHA LA VITABU  NA SIKU YA KIMASOMO DUNIANI

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla akizungumza na viongozi mbali mbali, watendaji wa Maktaba, wanafunzi na wananchi waliohudhuria katika Kilele cha Tamasha la Vitabu na Siku ya Kisomo Duniani lililofanyika katika Ukumbi wa Sheikh Idris Abdulwakil Kikwajuni Zanzibar.

Imetolewa na Kitengo cha Habari (OMPR)
Tarehe 08.09.2024