Home INTERNATIONAL MHE.DKT.SAMIA AKUTANA NA WATANZANIA WANAOISHI CHINA

MHE.DKT.SAMIA AKUTANA NA WATANZANIA WANAOISHI CHINA

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akutana na Watanzania wanaoishi nchini China (Diaspora) wakiwemo wafanyakazi, wanafunzi na wafanyabiashara, Jijini Beijing tarehe 06 Septemba, 2024.