Home LOCAL MAKAMU WA RAIS KUWA MGENI RASMI KATIKA KUHITIMISHA KONGAMANO LA NNE LA...

MAKAMU WA RAIS KUWA MGENI RASMI KATIKA KUHITIMISHA KONGAMANO LA NNE LA UHURU WA KIDINI LA AFRIKA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Makonda wakati alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro akielekea mkoani Arusha leo tarehe 20 Septemba 2024.

Makamu wa Rais anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Kuhitimisha Kongamano la Nne la Uhuru wa Kidini la Afrika litakayofanyika katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Jijini Arusha tarehe 21 Septemba 2024.

 

Previous articleAREJESHEWA TABASAMU BAADA YA KUFANYIWA UPASUAJI REKEBISHI NA KUONDOLEWA UVIMBE KILO TANO ULIOMSUMBUA MIAKA 25
Next articleBENKI YA ACB WANAKUAMBIA “TUPO MTAANI KWAKO”

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here