Home BUSINESS WAZIRI MKUU AFUNGUA MAONESHO YA NANENANE DODOMA

WAZIRI MKUU AFUNGUA MAONESHO YA NANENANE DODOMA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia zao la alizeti wakati alipofungua maonesho ya Kimataifa ya Wakulima ya Nanenane ambayo kitaifa yanafanyika Jijini Dodoma, kwenye viwanja vya Nanenane Nzuguni, Agosti 01, 2024. Kulia ni Waziri wa Kilimo Hussein Bashe (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipewa maelezo na Waziri wa Kilimo Hussein Bashe kuhusu power tiller za  Kampuni ya Uagizaji wa Matreka ya Agricom wakati wa ufunguzi wa maonesho ya Kimataifa ya Wakulima ya Nanenane ambayo kitaifa yanafanyika Jijini Dodoma, kwenye viwanja vya Nanenane Nzuguni, Agosti 01, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua maonesho ya Kimataifa ya Wakulima ya Nanenane ambayo kitaifa yanafanyika Jijini Dodoma, kwenye viwanja vya Nanenane Nzuguni, Agosti 01, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipewa maelezo na Mkurugenzi wa Bodi ya Kahawa Primus Kimario Mradi wa kuongeza unywaji Wa kahawa nchini kwa kutumia  migahawa Inayotembea ambayo inasimamiwa na mradi wa Jenga Kesho Iliyobora (BBT), alipofungua maonesho ya Kimataifa ya Wakulima ya Nanenane ambayo kitaifa yanafanyika Jijini Dodoma, kwenye viwanja vya Nanenane Nzuguni, Agosti 01, 2024. kushoto ni  Waziri wa Kilimo Hussein Bashe (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia Kahawa iliyotengenezwa na kijana Abdul Issa (kulia) kupitia Mradi wa kuongeza unywaji wa kahawa nchini kwa kutumia migahawa Inayotembea ambayo inasimamiwa na mradi wa Jenga Kesho Iliyobora (BBT) wakati alipofungua maonesho ya Kimataifa ya Wakulima ya Nanenane ambayo kitaifa yanafanyika Jijini Dodoma, kwenye viwanja vya Nanenane Nzuguni, Agosti 01, 2024. Katikati ni Mkurugenzi wa Bodi ya Kahawa Primus Kimario (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Baadhi ya washiriki wa maonesho ya Kimataifa ya Wakulima ya Nanenane wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati alipofungua maonesho hayo ambayo kitaifa yanafanyika Jijini Dodoma, kwenye viwanja vya Nanenane Nzuguni, Agosti 01, 2024. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikata utepe kuzindua Mradi wa kuongeza unywaji wa kahawa nchini kwa kutumia migahawa Inayotembea ambayo inasimamiwa na mradi wa Jenga Kesho Iliyobora (BBT) wakati alipofungua maonesho ya Kimataifa ya Wakulima ya Nanenane ambayo kitaifa yanafanyika Jijini Dodoma, kwenye viwanja vya Nanenane Nzuguni, Agosti 01, 2024. Katikati ni Mkurugenzi wa Bodi ya Kahawa Primus Kimario (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

 Baadhi ya Power Tiller za kampuni  ya Uagizaji wa Matreka ya Agricom zilizopo katika viwanja vya Nanenane Nzuguni Jijini Dodoma. Kampuni hiyo inatarajia kufungua kiwanda cha kuunganisha matrekta katika eneo hilo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Previous articleMTATIRO NA KILEO WATAJA WAGOMBEA WENYE USHAWISHI TLS
Next articleRAIS SAMIA AWEKA HISTORIA KUBWA UZINDUZI WA SGR
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here