Home Uncategorized WAZIRI JAFO ATEMBELEA BANDA LA TMDA NANE-NANE

WAZIRI JAFO ATEMBELEA BANDA LA TMDA NANE-NANE

Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Selemani Jafo akisaini kitabu cha wageni wakati alipotembelea katika banda ka Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba TMDA leo Agosti 8, 2024 katika maonesho ya Nanenane yanayofanyika kwenye televisheni viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma, Katikati ni Meneja Mawasiliano na Elimu kwa Umma TMDA Bi. Gaudensia Simwanza na kushoto ni Sonia Mkumbwa Meneja wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba TMDA kanda ya Kati Dodoma.

Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Selemani Jafo akipata maelezo wakati alipotembelea katika banda ka Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba TMDA leo Agosti 8, 2024 katika maonesho ya Nanenane yanayofanyika kwenye televisheni viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma kutoka kwa Meneja Mawasiliano na Elimu kwa Umma TMDA Bi. Gaudensia Simwanza na kushoto ni Sonia Mkumbwa Meneja wa Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba TMDA kanda ya Kati Dodoma.

Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Selemani Jafo akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa TMDA alipotembelea katika banda ka Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba TMDA leo Agosti 8, 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here