Home LOCAL UJENZI WA DARAJA LA J.P MAGUFULI UPO 90% YA UTEKELEZAJI

UJENZI WA DARAJA LA J.P MAGUFULI UPO 90% YA UTEKELEZAJI

Mwonekano wa Ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli (Kigongo – Busisi) Kilometa 3.2 linalojengwa kuunganisha Barabara Kuu ya Usagara – Sengerema – Geita kupita Ziwa Victoria na ujenzi wa barabara unganishi ya Kilometa 1.66 ambapo utekelezaji unaendelea na upo asilimia 90.

Mradi huu unagharamiwa na Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania kwa shilingi Bilioni 716.3 zikijumuisha Malipo ya Mkandarasi, Mhandisi Mshauri wa usimamizi wa mradi, Fidia na Usanifu. (Picha na Wizara ya Ujenzi).

    

Previous articleOFISI YA MSAJILI WA HAZINA, PSSSF NA WCF WAINGIA UBIA KUMILIKI KIWANDA CHA CHAI CHA MPONJE
Next articleDCEA YAADHIMISHA SIKU YA VIJANA DUNIANI JIJINI ARUSHA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here