Home Uncategorized TTCL YAWEZESHA UPATIKANAJI HUDUMA ZA INTANETI NANE-NANE

TTCL YAWEZESHA UPATIKANAJI HUDUMA ZA INTANETI NANE-NANE

Na: Hughes Dugilo, DODOMA 

Meneja Biashara wa Kampuni ya Mawasiliano Tanzania TTCL Mkoa wa Dodoma. akimkabidhi zawadi Afisa Masoko wa Chuo Kikuu Mzumbe Bi.alipotembelea kuwashukuru wadau wanaotumia huduma za mtandao (internet) za TTCL viwanjanji hapo.

Kampuni ya Mawasiliano Tanzania TTCL, imewezesha kutoa huduma za mtandao (internet), kwa baadhi ya Taasisi za umma na Binafsi zaidi ya 20 zinazoshiriki Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo, Nane yanayofamyika on wenye viwanja vya Nzuguni Jijini Dodoma.

Baadhi ya washiriki waliopata huduma hiyo viwanjani hapo wameeleza kuwa huduma hiyo imewezesha ufanisi wa majukumu yao.

Akizungumza katika maonesho hayo, Meneja Biashara wa TTCL Mkoa wa Dodoma Bi. Leila Pongwe amesema kuwa mkakati uliopo ni kuhakikisha huduma ya mtandao inawafikia wananchi kwenye makazi yao nakwamba tayari katika baadhi ya mikoa huduma hiyo imeshaanza.

Katika maonesho hayo zaidi ya Taasisi za Serikali na Binafsi zimeumganishiwa huduma za mtandao kutoka TTCL.

TTCL inashiriki Maonesho ya Kimataifa ya Kilimo Nane-nane kutoa elimu kwa wananchi kuhusu huduma zao wanazozitoa, ikiwemo ya ‘Lips Malipo ya ya Wakulima kwa Mkupuo ukiwa na T-PESA sasa.

Huduma hiyo inalenga kupunguza gharama na usumbufu kutokana na kurahisisha kufanya miamala ya malipo kupitia mitandao yote ya simu.

Previous articleWAZIRI JAFO ATEMBELEA BANDA LA BoT
Next articleRAIS SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA JENGO LA MAABARA KUU YA KILIMO
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here