Home BUSINESS TARI YAWAKARIBISHA WADAU MAONESHO YA NANENANE -2024

TARI YAWAKARIBISHA WADAU MAONESHO YA NANENANE -2024

TARI inashiriki maonesho ya Nanenane kitaifa Nzuguni Dodoma pia katika Kanda zingine za maonesho haya ambayo ni muhimu kwa Wakulima na wadau wa Kilimo kupata elimu na maarifa sahihi kutoka kwa Wataalamu juu ya kanuni Bora za Kilimo na fursa za Kilimo.

Mwezi Julai ya mwaka huu- 2024, TARI imetoa Mbegu mpya aina 16 za Mazao ya Maharage, Karanga na Korosho zilizoidhinishwa na kamati ya taifa ya Mbegu. Mbegu hizo zina sifa za ziada kulinganisha na mbegu ambazo Wakulima wamekuwa wakizitumia na elimu kuhusu mbegu hizo ni Miongoni mwa mengi yanayopatikana katika Banda la TARI kwenye maonesho haya.

Maonesho ya Nanenane mwaka huu, yana kaulimbiu ya Chagua viongozi Bora wa Serikali za Mitaa kwa Maendeleo endelevu ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi.

    

Previous articleSIMBA SC YAFANYA MAKUBWA TAMASHA LA SIMBA DAY
Next articleCHUO CHA BENKI KUU NI KITOVU CHA MAADILI NA NIDHAMU SEKTA YA FEDHA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here