Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt,Samia Suluhu Hassan leo August 07,2023 amezindua Kiwanda Cha Sukari Cha Mkulazi kilichopo Wilaya ya Kilosa Mkoani Morogoro ambacho kina uwezo wa kuzalisha Tani 50,000 za sukari kwa mwaka.
Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!