Home Uncategorized RAIS SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA JENGO LA MAABARA KUU...

RAIS SAMIA AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA JENGO LA MAABARA KUU YA KILIMO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt,Samia Suluhu Hassan leo August 08,2024 ameweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Jengo la Maabara Kuu ya Kilimo Inayojengwa Mji wa Serikali Mkoani Dodoma ambayo ujenzi wake umegharimu zaidi ya Shilingi Bilioni 16.

Jengo Hilo la Maabara ya Kilimo lina Gorofa nne na ndani yake zitakuwepo maabara takribani 14 ambazo zitawawezesha wataalamu na watafiti Nchini kufanya tafiti.

Fuatilia mitandao yetu ya kijamii
Instagram: @mamakajatz
Twitter @mamakajatz
Facebook: Mamakajatz
YouTube: Mama kaja tz
#Mamakaja

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here