Home LOCAL RAIS SAMIA AWAHUTUBIA WANANCHI KATIKA TAMASHA LA KIZIMKAZI MWEHE KUSINI UNGUJA

RAIS SAMIA AWAHUTUBIA WANANCHI KATIKA TAMASHA LA KIZIMKAZI MWEHE KUSINI UNGUJA

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Matukio mbalimbali kwenye Kilele cha Tamasha la Kizimkazi lililofanyika katika uwanja wa Mwehe, Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 25 Agosti, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia Viongozi, wageni mbalimbali pamoja na Wananchi wakati wa kilele cha Tamasha la Kizimkazi katika uwanja wa Mwehe, Kusini Unguja, Zanzibar tarehe 25 Agosti, 2024.