Home Uncategorized RAIS SAMIA AKIWA NA BAADHI YA ABIRIA KWENYE TRENI YA SGR

RAIS SAMIA AKIWA NA BAADHI YA ABIRIA KWENYE TRENI YA SGR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan amezungumza na Abiria pamoja na Wananchi waliojitokeza kwenye Vituo mbalimbali vya Treni ya kisasa ya SGR ikiwemo Pugu, Ngelengele na Morogoro Wakati wa Uzinduzi Rasmi Safari za Treni kutoka Dar es salaam mpaka Dodoma leo August 01,2024.

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt, Samia Suluhu Hassan akiwapungia na kuwasalimia Wananchi waliojitokeza kwenye Vituo mbalimbali vya Treni ya kisasa ya SGR ikiwemo Pugu, Ngelengele na Morogoro Wakati wa Uzinduzi Rasmi Safari za Treni kutoka Dar es salaam mpaka Dodoma leo August 01,2024.