Home LOCAL RAIS SAMIA AFUNGUA KIKAO KAZI CHA WENYEVITI WA BODI NA WAKURUGENZI JIJINI...

RAIS SAMIA AFUNGUA KIKAO KAZI CHA WENYEVITI WA BODI NA WAKURUGENZI JIJINI ARUSHA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia Viongozi mbalimbali kabla ya kufungua Kikao Kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma katika ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) tarehe 28 Agosti, 2024

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan afungua Kikao Kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma katika ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) tarehe 28 Agosti, 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here