Home LOCAL RAIS SAMIA AAGIZA KUREJESHWA HUDUMA ZA KIJAMII NGORONGORO 

RAIS SAMIA AAGIZA KUREJESHWA HUDUMA ZA KIJAMII NGORONGORO 

Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza kurejeshwa kwa huduma za kijamii ikiwemo za elimu na afya zilizokuwa zimesitishwa katika Tarafa ya Ngorongoro.

Hayo yamesemwa leo Ijumaa Agosti 23, 2024 na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri (Sera, Bunge na Uratibu), William Lukuvi akizungumza na wananchi wa kata 11 zilizopo Tarafa ya Ngorongoro, akiwasilisha maagizo ya Rais aliyewatuma kuwasilikiza wananchi hao waliokuwa wamekusanyika na kukesha kwa siku 5 wakitaka kujua hatima ya malalamiko yao.

Aidha amesema Rais ameagiza uchaguzi katika tarafa hiyo kwa kutumia mipaka ya zamani, ufanyike kama unavyofanyika maeneo mengine nchini

.

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda akiwa katika mkutano huo .  

    

Previous articleAMIRI JESHI MKUU WA MAJESHI  YA ULINZI NA USALAMA AFUNGA MAZOEZI YA MEDANI
Next articleRAIS SAMIA AMESIKILIZA KILIO CHA WAKAZI WA NGORONGORO
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here