Home LOCAL RAIS DKT. SAMIA AZINDUA BWAWA LA UMWAGILIAJI NA AWAMU YA TATU YA...

RAIS DKT. SAMIA AZINDUA BWAWA LA UMWAGILIAJI NA AWAMU YA TATU YA UPANUZI WA MASHAMBA YA KIWANDA CHA SUKARI MTIBWA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kama ishara ya kuzindua Bwawa la umwagiliaji lenye mita za ujazo milioni 25 pamoja na Awamu ya tatu ya upanuzi wa mashamba na umwagiliaji katika Kiwanda cha Sukari Mtibwa kwenye muendelezo wa ziara yake ya Kikazi, Mvomero Mkoani Morogoro tarehe 03 Agosti, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akibonyeza Kitufe kama ishara ya kuzindua Bwawa la umwagiliaji lenye mita za ujazo milioni 25 na Awamu ya tatu ya upanuzi wa Mashamba na umwagiliaji katika Kiwanda cha Sukari Mtibwa kwenye muendelezo wa ziara yake ya Kikazi Mkoani Morogoro tarehe 03 Agosti, 2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali pamoja na Wafanyakazi wa Kiwanda cha Sukari cha Mtibwa mara baada ya kuzindua Bwawa la umwagiliaji lenye mita za ujazo milioni 25 pamoja na Awamu ya tatu ya upanuzi wa mashamba ya Kiwanda hicho, Mvomero Mkoani Morogoro tarehe 03 Agosti, 2024.

Taswira ya Bwawa la umwagiliaji lenye mita za ujazo milioni 25 pamoja na Awamu ya tatu ya upanuzi wa mashamba ya Kiwanda cha Sukari Mtibwa mara baada ya kuzinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mvomero Mkoani Morogoro tarehe 03 Agosti, 2024.


Matukio mbalimbali katika hafla ya uzinduzi wa Bwawa la umwagiliaji lenye mita za ujazo milioni 25 pamoja na Awamu ya tatu ya upanuzi wa mashamba na umwagiliaji ya Kiwanda cha Sukari Mtibwa, Mvomero Mkoani Morogoro tarehe 03 Agosti, 2024.

Previous articleBAKAA YA FEDHA DARAJA LA BEREGA KUJENGA BARABARA, MADARAJA NA MAKARAVATI
Next articleSERIKALI YASHAURIWA KUWEKA MKAZO KWENYE KILIMO, IKOLOJIA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here