Home LOCAL KATIBU MKUU WA CCM Dkt. NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE KINANA NYUMBANI KWAKE DSM

KATIBU MKUU WA CCM Dkt. NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE KINANA NYUMBANI KWAKE DSM

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel Nchimbi amemtembelea aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Ndugu Abdulrahman Kinana nyumbani kwake jijini Dar es Salaam leo, Agosti 17, 2024 kwa lengo la kubadilishana mawazo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here