Home Uncategorized WAZIRI JAFO ATEMBELEA BANDA LA BoT

WAZIRI JAFO ATEMBELEA BANDA LA BoT

Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Selemani Jafo akiwa katika picha ya pamoja na Bw. Kened Nyoni Mkurugenzi wa Menejimenti ya Usimamizi wa Rasilimali Watu na Utawala Benki Kuu ya Tanzania BoT wakati alipotembelea katika banda la benki hiyo kwenye maonesho ya Kilimo ya Mikataifa Nanenane yanayofanyika kwenye viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma, kulia ni Bi. Vick Msina Meneja Mawasiliano BoT.

Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Selemani Jafo akipata maelezo kutoka Kwa Mwita Patrick Mchumi kutoka Benki Kuu ya Tanzania BoT wakati alipotembelea banda hilo leo Agosti 8, 2024 katika kilele cha maonesho ya Nanenane yanayofanyika kwenye viwanja vya Nzuguni jijini Dodoma kulia ni Bi. Vick Msina Meneja Mawasiliano BoT.

Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Selemani Jafo akipokea zawadi kutoka kwa Meneja Mawasiliano wa BoT Bi. Vick Msina wakati alipotembelea banda la hilo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here