Home LOCAL WAZIRI MKUU KUZINDUA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMUA LA WAPIGA KURA

WAZIRI MKUU KUZINDUA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMUA LA WAPIGA KURA

 

 

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Julai 20, 2024 anazindua uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, katika uwanja wa Kawawa, mkoani Kigoma.

Uzinduzi huo unaashiria kuanza kwa uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura nchini nzima. Mikoa ambayo inaanza uboreshaji wa daftari hilo leo Julai 20, 2024 hadi Julai 26, 2024 ni Kigoma, Katavi na Tabora na baadaye mikoa mingine itafuata.

KauliMbinu ya uboreshaji ni: Kujiandikisha kuwa Mpiga Kura ni Msingi wa Uchaguzi Bora.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here