Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!
Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa Leo Julai 31, 2024 amehani msiba wa Theresia Mdee ambaye ni Mama Mzazi wa Mbunge wa Viti Maalum Mheshimiwa Halima Mdee, nyumbani kwa Mheshimiwa Halima Mdee Area D, jijini Dodoma