Home LOCAL RAIS SAMIA NA VIONGOZI WA CCM KATIKA HAFLA YA CHAKULA CHA MCHANA...

RAIS SAMIA NA VIONGOZI WA CCM KATIKA HAFLA YA CHAKULA CHA MCHANA NA MGENI WAKE RAIS NYUSI WA MSUMBIJI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiwaongoza viongozi wengine wa Chama na Serikali, pamoja na wananchi mbalimbali waliohudhuria hafla ya chakula cha mchana aliyomwandalia mgeni wake, Rais wa Jamhuri ya Msumbiji, Mhe. Filipe Jacinto Nyusi, leo Jumanne Julai 2, 2024, Ikulu jijini Dar Es Salaam. Rais Nyusi yuko ziara ya kiserikali ya siku tatu nchini.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here