Home LOCAL RAIS SAMIA AWASALIMIA WANANCHI WA KAENGESA MKOANI RUKWA

RAIS SAMIA AWASALIMIA WANANCHI WA KAENGESA MKOANI RUKWA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia na wananchi wa Kaengesa mara baada ya kufungua barabara ya lami ya kwenda Kaengesa Seminari Mkoani Rukwa tarehe 17 Julai, 2024.
    

   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katembelea na kuzungumza na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Seminari ya Kaengesa Mkoani Rukwa wakati akiwa kwenye muendelezo wa Ziara yake Mkoani Rukwa tarehe 17 Julai, 2024

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here