Home LOCAL RAIS SAMIA AWAHUTUBIA WANANCHI WA SUMBAWANGA UWANJA WA MANDELA MKOANI RUKWA

RAIS SAMIA AWAHUTUBIA WANANCHI WA SUMBAWANGA UWANJA WA MANDELA MKOANI RUKWA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia Wananchi wa Mkoa wa Rukwa kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Nelson Mandela, Sumbawanga tarehe 17 Julai, 2024.
      

    Wananchi kutoka maeneo mbalimbali Mkoani Rukwa wakiwa katika uwanja wa Nelson Mandela, Sumbawanga mkoani humo kwa ajili ya kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati akihitimisha ziara yake Mkoani humo tarehe 17 Julai, 2024.

   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono Wananchi wa Sumbawanga mara baada ya kuhutubia na kuhitimisha Ziara yake ya Kikazi katika uwanja wa Nelson Mandela Mkoani Rukwa tarehe 17 Julai, 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here