Home LOCAL RAIS SAMIA AMUAPISHA KAMISHINA MKUU WA MAGEREZA TANZANIA

RAIS SAMIA AMUAPISHA KAMISHINA MKUU WA MAGEREZA TANZANIA

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akimvalisha Kamishna wa Magereza CP. Jeremiah Yoram Katungu cheo Kipya cha Kamishna Jenerali wa Magereza (CGP) kabla ya kumuapisha kuwa Mkuu wa Jeshi hilo kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 31 Julai, 2024.