Home LOCAL RAIS SAMIA AMUAGA MGENI WAKE RAIS FILIPE NYUSI WA JAMHURI YA MSUMBIJI...

RAIS SAMIA AMUAGA MGENI WAKE RAIS FILIPE NYUSI WA JAMHURI YA MSUMBIJI UWANJA WA NDEGE WA AMANI ABEID KARUME ZANZIBAR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na mgeni wake Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, Zanzibar tarehe 04 Julai, 2024.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na mgeni wake Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, Zanzibar tarehe 04 Julai, 2024.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na mgeni wake Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi wakati Wimbo wa Taifa wa Tanzania ukiimbwa katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, Zanzibar tarehe 04 Julai, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na mgeni wake Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi wakati akimsindikiza katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, Zanzibar tarehe 04 Julai, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na mgeni wake Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi wakiwapungia mkono wananchi katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, Zanzibar tarehe 04 Julai, 2024.

 

Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi akipunga mkono wakati akiondoka katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, Zanzibar mara baada ya kuhitimisha ziara yake tarehe 04 Julai, 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here