Home LOCAL RAIS SAMIA AKITETA JAMBO NA WAZIRI BASHE AKIWA ZIARANI RUKWA

RAIS SAMIA AKITETA JAMBO NA WAZIRI BASHE AKIWA ZIARANI RUKWA

Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Mhe. Hussein Bashe (Mb), Waziri wa Kilimo wakati wakiwa katika Uwanja wa Mandela, Mkoani Rukwa tarehe 17 Julai 2024 kuongea na wananchi wa Rukwa.

#KilimoTupoTayariKuilishaDuniaKibiasha a
#KilimoNiMchongo

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here