Home LOCAL RAIS SAMIA AHITIMISHA ZIARA YAKE KATAVI, ATANGAZA NEEMA KWA WANANCHI WA...

RAIS SAMIA AHITIMISHA ZIARA YAKE KATAVI, ATANGAZA NEEMA KWA WANANCHI WA MPIMBWE BEI YA MAHINDI KUANZIA Sh.600

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akihitimisha ziara yake ya kikazi Mkoani Katavi tarehe 15 Julai 2024 ambapo wananchi wa Mpimbwe waliambiwa kuwa bei ya mahindi itaanzia shilingi 600.

Mhe. Rais Dkt. Samia amekuwa mkoani Katavi kwa siku tatu ambapo pamoja na miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo afya, alizindua pia vihenge na maghala ya kisasa ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA), na kuongeza uwezo wa kuhifadhi nafaka za aina tofauti kutoka tani 5,000 hadi tani 28,000.

Ziara hiyo pia imeshirikisha Viongozi wa Serikali akiwemo Mhe. Hussein Bashe (Mb), Waziri wa Kilimo.

Previous articleMATUKIO KATIKA PICHA: WANANCHI RUKWA WAKIMSUBIRI RAIS SAMIA UZINDUZI WA VIHENGE
Next articleRAIS SAMIA AFUNGUZA JENGO LA HALMASHAURI YA WILAYA YA KALAMBO RUKWA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here