Home LOCAL RAIS MSTAAFU KIKWETE AZUNGUMZA NA BALOZI NCHIMBI JIJINI DAR

RAIS MSTAAFU KIKWETE AZUNGUMZA NA BALOZI NCHIMBI JIJINI DAR

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Mrisho Kikwete amefanya mazungumzo na Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi leo tarehe 01, Julai, 2024 katika Ofisi yake binafsi Masaki Jijini Dar es Salaam.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here