Home BUSINESS RAIS MSTAAFU KIKWETE ATEMBELEA BANDA LA BRELA MAONESHO YA SABASABA

RAIS MSTAAFU KIKWETE ATEMBELEA BANDA LA BRELA MAONESHO YA SABASABA

Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete akiwa katika Banda la Wakala wa Usajili wa Kampuni na Leseni (BRELA), kufahamu namna Taasisi hiyo inavyotekeleza majukumu yake, alipofanya ziara ya kutembelea mabanda ya Taasisi za Wizara ya Viwanda na Biashara, kwenye Maonesho ya 48 ya Kimataifa ya Biashara (Sabasaba), Julai 6,2024, katika viwanja vya Julius Kambarage Myerere Jijini Dar es Salaam.

Rais Kikwete ameipongeza BRELA kwa hatua kubwa waliyopiga kwa kuboresha huduma zao na kuwezesha wananchi wengi kuwafikia kwa njia ya mtandao.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here