Home BUSINESS NIC KIDEDEA SEKTA YA BIMA NA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII SABASABA

NIC KIDEDEA SEKTA YA BIMA NA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII SABASABA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazaa Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi tuzo Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la NIC Bw. Kaimu Mkeyenge baada ha shirika hilo kuibuka Mshindi wa kwanza  banda bora kundi la Sekta ya Bima na Mifuko ya Hifadhi ya Jamii katika maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa yaliyomalizika Julai 13, 2024 kwenye viwanja vya Julius Nyerere Barabara ya Kilwa maarufu Sabasaba jijini Dar es Salaam

Awali Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazaa Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la NIC Bw. Kaimu Mkeyenge wakati alipotembelea banda la shirika hilo kabla ya kufunga maonesho hayo wa pili kutoka kushoto ni Waziri wa Viwanda na Biashara Dkt. Suleiman Jafo na mwisho kushoto ni Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania TanTrade Bi. Latifa Khamis. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Barazaa Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi akiondoka katika banda la shirika la Bima la NIC huku akiongozana na Waziri wa viwanda na Biashara Dkt. Suleiman Jafo mara baada ya kutembelea banda hilo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here