Home LOCAL KIMEI AANZA ZIARA JIMBONI

KIMEI AANZA ZIARA JIMBONI

Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mheshimiwa Dkt Charles Stephen Kimei akizungumza na wananchi wa vijiji vya Kisangesangeni na Miwaleni kata ya Kahe, Halmashauri ya Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro hii leo.

Kimei yupo jimboni kuzungumza na wananchi wa Jimbo hilo kusikiliza na kutolea ufafanuzi wa masuala na kero mbalimbali zinazowakabili wananchi.

Katika ziara yake hiyo aliambatana na diwani wa kata ya Kahe Mhe Aloyce Momburi, wajumbe wa kamati ya siasa ya kata wakiongozwa na katibu wa CCM Kata Ndg Melau Laizer, maafisa watendaji kata na vijiji wakiongozwa na Ndg Happy Msuya pamoja na wataalam toka bonde la Mto Pangani.

*#VunjoTumechagua*
*#CCMTeamMaendeleo*
*#MaendeleoakwaVitendo*

Previous articleRAIS SAMIA AFUNGUZA JENGO LA HALMASHAURI YA WILAYA YA KALAMBO RUKWA
Next articleRAIS SAMIA AZINDUA VIHENGE VYA KISASA VYA KUHIFADHIA CHAKULA RUKWA
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here