Home LOCAL DKT. MWASAGA: TANZANIA IMEJIPANGA KWA AKILI MNEMBA

DKT. MWASAGA: TANZANIA IMEJIPANGA KWA AKILI MNEMBA

Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya TEHAMA, Dkt. Nkundwe Mwasaga akifanya wasilisho kuhusu “Utayari wa Tanzania kwa Akili Mnemba na Mustakabali wa Kazi” hivi karibuni wakati wa mkutano mkuu wa 65 wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) jijini Dar es Salaam. (Na Mpigapicha Wetu)

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here