Home ENTERTAINMENTS CLOUDS MEDIA YAMPA TUZO YA HESHIMA MSAMA

CLOUDS MEDIA YAMPA TUZO YA HESHIMA MSAMA

Thank you for reading this post, don't forget to subscribe!

Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama akipokea tuzo ya heshima kutoka Clouds Media Group, kwa kuchambua mchango wake mkubwa kwa kuwa mwanzilishi wa kipindi cha Gospel cha Clouds FM.