Home LOCAL WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS SAMIA MAADHIMISHO YA KITAIFA KUPINGA DAWA ZA KULEVYA

WAZIRI MKUU AMWAKILISHA RAIS SAMIA MAADHIMISHO YA KITAIFA KUPINGA DAWA ZA KULEVYA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Juni 30, 2024 anamwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Duniani 2024.

kaulimbiu ya maadhimisho hayo ni “Wekeza kwenye Kinga na Tiba dhidi ya Dawa za Kulevya”.

Maadhimisho hayo yanafanyika katika Uwanja wa Nyamagana, jijini Mwanza.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here