Baadhi ya Watanzania wanaoishi Jamhuri ya Korea (Diaspora) wakiwa kwenye Mkutano na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan uliofanyika katika Hoteli ya JW Marriott Jijini Seoul tarehe 05 Juni,2024.

Viongozi mbalimbali wakiwa kwenye Mkutano na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan uliofanyika katika Hoteli ya JW Marriott Jijini Seoul tarehe 05 Juni,2024.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifurahia jambo na mmoja wa Watoto waliokuwepo kwenye mkutano na Watanzania waishio Jamhuri ya Korea tarehe 05 Juni,2024
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Watoto waliokuwepo kwenye mkutano na Watanzania waishio Jamhuri ya Korea tarehe 05 Juni,2024.