Home LOCAL RAIS SAMIA ASHIRIKI SALA YA EID AL ADHA JIJINI DAR 

RAIS SAMIA ASHIRIKI SALA YA EID AL ADHA JIJINI DAR 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Dua ya pamoja na Waumini wa Dini ya Kiislam mara baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Al Adha iliyosaliwa katika Msikiti wa Mikocheni kwa Warioba Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Juni, 2024.

1000214382
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amejumuika pamoja na Waumini wa Dini ya Kiislam kwenye Sala ya Eid Al Adha iliyosaliwa katika Msikiti wa Mikocheni kwa Warioba Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Juni, 2024.
1000214379
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na baadhi ya Wananchi na Waumini wa Dini ya Kiislam mara baada ya kumalizika kwa Sala ya Eid Al Adha iliyosaliwa katika Msikiti wa Mikocheni kwa Warioba Jijini Dar es Salaam tarehe 17 Juni, 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here