Home LOCAL RAIS SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA BIASHARA JIJINI SEOUL KOREA

RAIS SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA BIASHARA JIJINI SEOUL KOREA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi pamoja na Wageni mbalimbali walioshiriki Mkutano wa Biashara katika Hoteli ya Lotte Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea tarehe 05 June, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Biashara katika Hoteli ya Lotte Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea tarehe 05 June, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiteta jambo na Rais wa Zimbabwe Mhe. Emmerson Mnangagwa wakati wa Mkutano wa Biashara uliofanyika katika Hoteli ya Lotte Jijini Seoul, Jamhuri ya Korea tarehe 05 June, 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here