Home LOCAL RAIS SAMIA AREJEA NCHINI AKITOKEA AFRIKA KUSINI

RAIS SAMIA AREJEA NCHINI AKITOKEA AFRIKA KUSINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiondoka katika uwanja wa Ndege wa Waterkloof Pretoria nchini Afrika Kusini mara baada ya kuhudhuria hafla ya Uapisho wa Rais wa nchi hiyo Mhe. Cyril Ramaphosa iliofanyika Pretoria tarehe 19 Juni, 2024.
 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam mara baada ya kuhudhuria hafla ya Uapisho wa Rais wa Afrika Kusini Mhe. Cyril Ramaphosa iliofanyika Pretoria tarehe 19 Juni, 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here