Home LOCAL MWENYEKITI WA CCM Dkt. SAMIA AONGOZA KIKAONI CHA KAMATI KUU (NEC)...

MWENYEKITI WA CCM Dkt. SAMIA AONGOZA KIKAONI CHA KAMATI KUU (NEC) DODOMA

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (NEC) Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Juni, 2024.

Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM) wakiwa kwenye Kikao cha NEC Jijini Dar es Salaam tarehe 30 Juni, 2024.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here