Home LOCAL MAJALIWA AMKARIBISHA ZUHURA YUNUS OFISI YA WAZIRI MKUU

MAJALIWA AMKARIBISHA ZUHURA YUNUS OFISI YA WAZIRI MKUU

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Zuhura Yunus, mara baada ya Zuhura kuapishwa na Rais Samia Suluhu Hassan kushika nafasi hiyo jana, Ikulu ya Chamwino, Dodoma. Zuhura amepandishwa cheo kutoka nafasi yake ya awali ya Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais.
Previous articleTAMASHA LA TWEN’ZETU KWA YESU KUTIKISA DSM JUNI 15, 2024
Next articleCBE YAKWAKONGA WAGENI KUTOKA ZANZIBAR 
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here