Home BUSINESS MAADHIMISHO WIKI YA UTUMISHI WA UMMA, BRELA YATOA HUDUMA ZA PAPO KWA...

MAADHIMISHO WIKI YA UTUMISHI WA UMMA, BRELA YATOA HUDUMA ZA PAPO KWA HAPO JIJINI DAR

Watumishi wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) wakishiriki maadhimishi ya Wiki ya Utumishi wa Umma kwa kutoa huduma za papo kwa papo kwa wateja katika viwanja vya Ofisi ya BRELA Jijini Dar es Salaam.

Kauli mbiu ya maadhimisho ya mwaka huu ni KAULI MBIU ” KUWEKEZA KWA UTUMISHI WA UMMA WA AFRIKA KARNE YA 21 ILIYO JUMUISHI NA INAYOSTAWI; NI SAFARI YA MAFUNZO NA MABADILIKO YA KITEKNOLOJIA”

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here