Home BUSINESS BUNGE LAPITISHA KWA KISHINDO BAJETI KUU YA SERIKALI YA TRILIONI 49.35

BUNGE LAPITISHA KWA KISHINDO BAJETI KUU YA SERIKALI YA TRILIONI 49.35

Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wamepitisha kwa kishindo Bajeti Kuu ya Serikali ya shilingi trilioni 49.35 kwa mwaka 2024/25, bungeni jijini Dodoma, ambapo katika zoezi la upigaji kura, Wabunge 362 wamepiga kura za ndio na wabunge 18 wamepiga kura za kutoamua.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here