Home BUSINESS WAZIRI MKUU AWATAKA WAKANDARASI MIRADI YA UMWAGILIAJI KUZINGATIA UBORA

WAZIRI MKUU AWATAKA WAKANDARASI MIRADI YA UMWAGILIAJI KUZINGATIA UBORA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amewataka wakandarasi wazawa waliopewa dhamana ya ujenzi wa Miradi ya umwagiliji kuhakikisha waaitekelza kwa weledi na ubora wa hali ya Kuu.

Majaliwa Ameyasema hayo Jana katika hafla ya utiaji saini mikataba ya ujenzi wa Miradi ya umwagiliaji katika maeneo mbalimbali, iliyofanyika jijini Dodoma.

“Ndugu washiriki nimefurahishwa kuona kuwa asilimia 82 ya wanaokwenda kujenga miradi hii ni wataalamu na hizi ni fursa za ajira kwa Watanzania, lakini ni fursa ya kuongeza ujuzi kupitia miradi hii, vilevile inakwenda kuongeza kipato kwa Watanzania.

“Nitoke rai kwa wakandarasi wazawa, kwanza mbadilike, mnathaani kubwa mmepewa ya kutekeleza miradi na hili ndicho kilio kikubwa cha private seckta (sekta binafsi) leo mmeona serikali imeendelea kutekeleza kwa kuwapa miradi.

“Mjipange vizuri tumieni fursa hii kuihakikishia serikali kwamba mnaweza, lakini nyie mna dhamira zenu kufungua kampuni za ukenzi, mna hiyo dhamira simamieni dhamira zenu. Sisi tunakutegemeeni nyie kufua milango ya ajira

Previous articleWAFANYAKAZI KUWENI NA MATUMAINI, RAIS ATASEMA JAMBO LAKE HIVI KARIBUNI – Dkt. MPANGO 
Next articleWATUMISHI MBEYA WAPEWA MATUMAINI KUHUSU KIKOKOTOO
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here