Home SPORTS WAZIRI MKUU AONGOZA MATEMBEZI YA KUHAMASISHA UFANYAJI MAZOEZI

WAZIRI MKUU AONGOZA MATEMBEZI YA KUHAMASISHA UFANYAJI MAZOEZI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Waziri wa Afya Ummy Mwalimu (kushoto) wakishiriki katika matembezi ya kuhamasisha ufanyaji wa mazoezi ili kujikinga na magonjwa yasiyo ambukiza Mei 04, 2024. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila, Wapili kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. John Jingu na kulia ni Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Tumaini Nagu. Matembezi hayo ya Kilomita 10 yalianzia Coco Beach hadi Mzunguko wa Hospitali ya Agha Khan na kurudi Coco Beach.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here