Home LOCAL SAMIA KUPITIA NCHIMBI AKAMILISHA AHADI MANYONI

SAMIA KUPITIA NCHIMBI AKAMILISHA AHADI MANYONI

MANYONI

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais Samia Suluhu Hassan leo kupitia Katibu Mkuu wa chama hicho Balozi Dk Emmanuel John Nchimbi amekipatia chama wilaya ya Manyoni zaidi ya shilingi millioni 18 kwa ajili ya kuezeka jengo lake la kitega uchumi.

Katibu Mkuu wa CCM alitangaza hayo mbele ya Kamati ya Siasa ya Wilaya, mjini Manyoni, mwanzoni mwa ziara yake ya siku mbili mkoani Singida.

Amesema hiyo ilikuwa ni ahadi ya Mwenyekiti Rais Samia aliyoitoa kupitia kwa Katibu Mkuu wa zamani Daniel Chongolo.

Previous articleRAIS SAMIA AKIONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU CHAMWINO DODOMA
Next articleIFAD KUENDELEA KUSAIDIA MIRADI YA KILIMO NA UVUVI NCHINI
Hughes Dugilo is a Writer, News Producer, Video-Photographer Journalist, and Video Editor experienced for 20 years now performing in News, Documentary, Advertisements and Television Programs. Aside from all above he own and operate his Blog known as Green Waves Media TZ since 2018.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here